• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Uchaguzi


KITENGO CHA UCHAGUZI


MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAGUZI

  1. Kuratibu shughuli zote zihusuzo uchaguzi(uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo zote zitakazo jitokeza baada ya uchaguzi kufanyika).
  2. Kuratibu mazoezi yote ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa uchaguzi mkuu na orodha ya wapiga kura kwa uchaguzi wa serikali za mitaa.
  3. Kuratibu maswala yote muhimu kwa ajili ya kuwezesha mazoezi ya uchaguzi (maswala hayo ni pamoja na maandalizi ya uteuzi wa wagombea, kuratibu kampeni za wagombea, maandalizi ya vituo vya kupigia kura, mafunzo kwa washiriki wote wa mazoezi ya uchaguzi. Mambo yote haya yanafanyika kwa ushiriki wa karibu na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wizara inayosimamia uchaguzi wa serikali za mitaa).
  4. Kushirikiana na Idara ya utumishi kuhakikisha mafunzo ya mara kwa mara yanafanyika kwa wenyeviti wa serikali za mitaa ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.
  5. Kumshauri mkurugenzi juu ya maswala yote yahusuyo uchaguzi katika halmashauri ili kuwezesha mazoezi hayo kufanyika kwa mujibu wa sheria.
  6. Kutekeleza majukum mengineyo kwa maelekezo ya Mkurugenzi wa Halmashauri.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI. September 10, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Usafi wa Kitaifa kwa mwezi Septemba ni tarehe 26.09.2020 September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Halmashauri ya Kiteto yabuni nyanzo vipya vya mapato

    March 16, 2021
  • Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Awaagiza Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Kutofanya Kazi Kwa Mazoea.

    September 11, 2020
  • Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Wapewa Mafunzo ya Mfumo wa Kielektroniki Utakaotumika Kukusanya na Kuhakiki Madeni ya Watumishi Serikalini.

    September 01, 2020
  • Mh.Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Kanali Patrick Songea Ahimiza Jamii Kuwa na Lishe Bora Ili Kuepuka Magonjwa Yanayoepukika.

    August 28, 2020
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa