• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Historia

Utangulizi

Wilaya hii ina ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 16,685 ambalo ni sawa na asilimia 34.1% ya eneo lote la Mkoa wa Manyara. Wilaya ya Kiteto ipo kati ya Longitudo 36° 15’ hadi 37° 25’ Mashariki na Latitudo 40° 31 hadi 6º 03‘ Kusini.

Wilaya ya Kiteto inapakana na Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma wakati Kaskazini inapatikana na Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara, kwa upande wa Mashariki inapakana na Wilaya ya Kilindi iliyopo Mkoa wa Tanga,  Kusini Mashariki inapakana na Wilaya ya Gairo ambayo ipo Mkoa wa Morogoro na Kusini Mashariki inapakana na Wilaya ya Kongwa na Chamwino ambayo zipo Mkoa wa Dodoma. Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ni kati ya Wilaya sita (6) zinazounda Mkoa wa Manyara. Ilizinduliwa mnamo Julai mosi 1974 ikiwa katika Mkoa wa Arusha  na baadae kugawanywa mwaka 1993 na kuwa Wilaya mbili (2) yaani Kiteto na Kimanjaro ambapo Mkoa wa Manyara ulianza rasmi Julai 2002 baada ya kugawanywa kutoka Mkoa wa Arusha.

Hali ya hewa

Wilaya ya Kiteto ipo katika mwinuko wa kati ya meta 1000 hadi meta 1500 toka usawa wa bahari, kuna misimu miwili ya hali ya hewa kwa mwaka ambayo ni Masika na Kiangazi. Masika huwa kati ya mwezi Disemba hadi Mei na Kiangazi kati ya Juni hadi Novemba. Wilaya hupata Mvua za wastani wa kati ya mm 500 – mm 650 kwa mwaka.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • "MATUMIZI YA KUNI YALIMNYIMA USINGIZI MHE. RAIS”

    July 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAPOKELEWA WILAYANI KITETO

    July 13, 2025
  • MIRADI MITATU YAWEKEWA MAWE YA MSINGI.

    July 10, 2025
  • JAMII YAASWA KUZINGATIA HAKI ZA WATOTO.

    June 16, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa