Imetumwa : August 9th, 2023
Ujenzi wa shule mpya ya msingi iliyopo katika Kijiji cha Azimio kata ya Matui ukiendelea.
Shule hii ikikamilika inatarajia kupunguza msongamano wa wanafunzi kutoka katika Shule ya msingi Azimio.
...
Imetumwa : January 24th, 2022
KIKAO CHA KAMATI YA LISHE WILAYA TAREHE 22/01/2022
Kikao cha ndani cha kamati ya Lishe ya Wilaya kilichoketiwa tarehe 22/01/2022 kilikuwa mahususi kwa ajili ya uwasilishwaji wa taarifa za utekeleza...
Imetumwa : December 22nd, 2021
Maafisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakiwa wanapitia rejea ya mafunzo ya PLANREP iliyoboreshwa ili kuandaa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo tarehe 22 Disemba, 2021
Afisa Mipang...