• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Afya

UTANGULIZI

Idara ya afya imegawanyika katika vitengo viwili,ambavyo ni kitengo cha afya tiba  na afya kinga.Idara inahudumia wananchi kupitia jumla ya vituo 32 vya kutolea huduma za afya vikiwemo vya serikali,mashirika ya dini na watu binafsi kama inavyoonekana katika jedwali hapo chini.

KITUO CHA HUDUMA
SERIKALI
BINAFSI
MASHIRIKA
JUMLA
Hospitali
1
-
-
1
Vituo vya afya
2
-
-
2
Zahanati
24
1
4
29
Jumla
27
1
4
32

 2.0. Rasilimali watu

Idara ina jumla ya watumishi wapatao 265 wa kada mbalmbali za afya.

3.0.Majukumu ya idara ya afya

  • Kuandaa mpango mkakati wa miaka 5 kwa ajili ya uendeshaji wa huduma za afya.
  • Kuandaa bajeti ya mpango kabambe wa afya wa halmashauri.
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutoa huduma za afya
  • Kutoa elimu ya aya kinga, na kuzuia magonjwa ya mlipuko.
  • Kufanya usimamizi shirikishi katika vituo vya kutolea huduma za afya.
  • Kutafsiri sera,miongozo mbalimbali na viwango vya utoajhi huduma,kama ilivyowekwa na wizara ya afya,maendeleo ya jamii ,jinsia,wazee na watoto.
  • Kusimamia matumizi sahihi na mgawanyo wa rasilimali( watu,fedha na vitu)
  • Kuandaa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa shughuli za idara ya afya.
  • Kufanya tathmini na tafiti za magonjwa mbalimbali katika wilaya.
  • Kushirikiana na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) katika kuhakikisha usalama wa vyakula na dawa kwa wananchi.
  • Kufanya ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma zinazotolewa na vituo vya kutolea huduma za afya.
  • Kutoa elimu ya lishe bora kwa wananchi.
  • Kutoa elimu na ushauri katika makundi yanayoishi katika mazingira hatarishi.

Huduma za afya zinatolewa katika vituo 32 Kama ilivyoonyeshwa katika utangulizi. Vituo hivyo ni kama ifuatavyo;

  • Hospitali ya wilaya 1
  • Vituo vya afya 2 ( Engusero na Sunya).
  • Zahanati za serikali 24
  • Zahanati binafsi 1
  • Zahanati ya taasisi ya serikali 1.
  • Zahanati za taasisi za dini  (FBO) 2.
  • Zahanati za mashirika yasiyokuwa ya kiserekali ( NGO) 1

Mfuko wa afya ya jamii ( ICHF)

Hali ya mfuko wa afya ya jamii kwa mwaka 20187 ,jumla ys kaya 5650 zilijiunga na mfuko wa afya ya jamii (ICHF) ambayo ni sawa na asilimia 85 ya lengo lililowekwa na idara.

Kuanzi a Januari – Machi 2018 ,jumla ya kaya 2482 zimejiunga,sawa na asilimia 3.68 ya lengo hadi kufikia mwezi Disemba ,2018.

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI July 23, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA UTENDAJI WA KIJlJI III August 26, 2021
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPTEMBA 2023 September 03, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO KWAAJILI YA MAANDALIZI YA ZOEZI LA UBORESHWAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • TABIA MBAYA ZA WATUMUSHI ZINAHARIBU SIFA ZA TAASISI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KITETO LIMEMPONGEZA RAIS SAMIA.

    May 30, 2025
  • PONGEZI KWA WANANCHI KWA KUTUNZA MAZINGIRA

    April 28, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa