Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakiwa katika mafunzo maalumu ya siku mbili yanayoendelea wilayani Kiteto leo tarehe 9 Februari, 2026.

Mafunzo hayo yanayotolewa na wakufunzi kutoka Chuo cha Holombo kilichopo Mkoani Dodoma yakiwa yamelenga kuwajengea uwezo madiwani katika masuala ya utawala bora, usimamizi wa miradi ya maendeleo, uwajibikaji, pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kuimarisha uwajibikaji kwa wananchi.

Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa