• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA NA BOBEZI WILAYA YA KITETO.

Imetumwa : February 19th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, Februari 19, 2025 amezindua Huduma ya Kliniki ya Madaktari Bingwa na Bobezi awamu ya pili katika Mkoa wa Manyara.


Kliniki hiyo ambayo  imeanza Februari 17, 2025  katika hospitali ya Wilaya ya Kiteto iliyopo kata ya Kibaya,  inahusisha huduma za kibingwa za  Magonjwa ya Ndani, Upasuaji, Watoto, Wanawake na Afya ya Uzazi pamoja na huduma za kibingwa za Masikio Pua na Koo.

Katika uzinduzi huo, Mhe.  Sendiga, ametoa wito kwa wananchi wa Kiteto na wilaya za jirani kufika hospitalini hapo ili kupata huduma hizo za madaktari bingwa na bobezi kabla ya kufungwa kwa zoezi hilo Februari 21,2025.


Mbali na kufanya uzinduzi huo, akiwa katika eneo hilo la hospitali ya Wilaya, Mhe. Sendinga pia amezindua pia Mradi wa Ujenzi wa miundo mbinu ya uvunaji wa maji ya mvua, usimikaji wa vifaa vya kuzalisha umeme wa jua (Solar System) na ujenzi wa shimo la kutupia kondo la nyuma la mama, mradi ambao unafadhiliwa na shirika la “Pathfinder International”.


Kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua,  utawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Kiteto zaidi ya laki tatu, kupata huduma bora za afya katika hospitali ya Wilaya – Kibaya kwani mradi huo utaondoa changamoto ya kuharibika kwa  vifaa tiba  wakati wa utakasaji kwakua maji yanayopatikana Kiteto ni ya chumvi,  huku kukamilika kwa usimikaji wa vifaa vya umeme wa jua, utasaidia upatikanaji umeme mbadala mara umeme wa gridi ya taifa unapokatika.


Mbali na hayo, Mhe. Mkuu wa Mkoa huyo, alikabidhi pikipiki mbili zilizotolewa na Wizara ya Afya kwaajili ya shughuli za chanjo na pia alikabidhi jenereta lililotolewa na Bohari ya Dawa (MSD).

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • JAMII YAASWA KUZINGATIA HAKI ZA WATOTO.

    June 16, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa