Ujenzi wa shule mpya ya msingi iliyopo katika Kijiji cha Azimio kata ya Matui ukiendelea.
Shule hii ikikamilika inatarajia kupunguza msongamano wa wanafunzi kutoka katika Shule ya msingi Azimio.
Mradi huu unatekelezwa kwa gharama ya shilingi 540,300,000 fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika Ujifunzaji Bora kwa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara (BOOST).
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa