Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, Januari 27, 2025, amewaongoza wakazi wa Kiteto na viongozi mbalimbali kutoka Wilaya zote za Manyara kukata keki ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Zoezi la kukata keki limekuja baada ya shughuli ya kupanda miti 500 katika viwanja vilivyopo kwenye jengo jipya la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kiteto.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa