Imetumwa : September 13th, 2023
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mh. Edward Olelekaita amesema kwamba muda wowote yupo tayari kufuatilia fursa mbalimbali kwaajili ya maendeleo ya kiteto.
Haya ameyasema Septemba 12, 2023 katika Uk...
Imetumwa : September 12th, 2023
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mheshimiwa Edward Olelekaita amekabidhi jumla mifuko 600 ya saruji kwa taasisi mbalimbali zilizopo jimboni kwake.
Makabadhiano hayo ambayo yamefanyika katika Hospit...
Imetumwa : September 6th, 2023
WAKULIMA WA MBAAZI WILAYANI KITETO WAPATA KICHEKO
Wakulima wa zao la mbaazi wilayani Kiteto wamefurahishwa na mfumo mpya wa uuzaji wa zao hilo kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani ba...