Imetumwa : February 22nd, 2019
Mawaziri 7 pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakiwa kwenye ziara katika kijiji cha Kimotoroki wilayani Simanyiro. Lengo la ziara hiyo ni kukusanya taarifa kuhusu mgogoro kati ya kijiji cha K...
Imetumwa : February 2nd, 2019
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe Tumaini Magessa (aliyesimama) akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri 31-01-2019.
Mwenyekiti wa Halm...
Imetumwa : February 1st, 2019
Wahe. madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Mkuu wa wilaya wakati akitoa maelezo ya serikali kwenye kikao cha baraza lilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri.
Mkuu ...