Imetumwa : October 8th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe. Tumaini Magessa akizungumza na wakazi wa kata za Kibaya, Kaloleni na Bwagamoyo ,katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji mdogo wa Kibaya mwishoni mwa wiki.
...
Imetumwa : October 5th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe Tumaini Magessa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Chekanao,kata ya kiperesa, wilayani Kiteto.
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe Tumaini...
Imetumwa : September 27th, 2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Charles Francis Kabeho akipokea taarifa ya ujenzi wa bweni la wavulana ( Mhe. John P.J Magufuli) lililojengwa katika shule ya sekondari ya Enguse...