Imetumwa : January 8th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mh.Remedius Mwema Emmanuael ameagiza ifikapo Januari 15, 2024, wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza na watoto wote waliofikia umri wa kuanza darasa ...
Imetumwa : December 28th, 2023
Katika mwaka wa Fedha 2023/2024, mfuko wa Jimbo la Kiteto litatoa kiasi cha fedha 92,297,000 ikiwa ni mchango kwaajili ya miradi ya maendeleo katika kata 12 jimboni hapo.
Hayo yamebainishwa Desemba...
Imetumwa : December 9th, 2023
Mkuu wa Wilaya ys Kiteto, SSI. Mbaraka Batenga, amewaasa wananchi wa Kiteto kuuenzi na kuuthamini Uhuru wa nchi ili kuliendeleza Taifa.
Hayo ameyasema Desemba 9,2023 katika Ukumbi wa Maktaba ...