Imetumwa : November 1st, 2018
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto Mhe. Lairumbe Mollel akizungumza wakati akifungua kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika oktoba 30 -31 katika ukumbi wa halmashauri...
Imetumwa : October 29th, 2018
Afisa elimu msingi ( W) Ndg. Emmanuel Mwagala akizungumza kuhusu matokeo ya darasa la saba ofisini kwake mapema leo.
HABARI KAMILI
Afisa Elimu msingi wilaya ya Kiteto ndugu Emm...
Imetumwa : October 11th, 2018
Mratibu wa Macho(W) Dkt. Enock Thomas Awary Akimfanyia uchunguzi wa macho mmoja wapo wa watu wenye matatizo ya macho wakati wa maadhimisho ya siku ya macho duniani.
Mganga mkuu (W) Dkt. Paschal Mal...