Imetumwa : August 17th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Queen Cuthbert Sendiga amesema kwamba suala la uboreshaji wa miundombinu katika serikali ya awamu ya sita ya Mhe Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni suala end...
Imetumwa : August 9th, 2023
Ujenzi wa shule mpya ya msingi iliyopo katika Kijiji cha Azimio kata ya Matui ukiendelea.
Shule hii ikikamilika inatarajia kupunguza msongamano wa wanafunzi kutoka katika Shule ya msingi Azimio.
...
Imetumwa : January 24th, 2022
KIKAO CHA KAMATI YA LISHE WILAYA TAREHE 22/01/2022
Kikao cha ndani cha kamati ya Lishe ya Wilaya kilichoketiwa tarehe 22/01/2022 kilikuwa mahususi kwa ajili ya uwasilishwaji wa taarifa za utekeleza...