Imetumwa : January 16th, 2024
Watendaji wa Kata katika Halmashauri ya Wilaya Kiteto wameagizwa kuwashirikisha wazazi wa wanafunzi juu ya mavuno ya mazao yanayopatikana katika mashamba ya shule.
Hayo yamesemwa Januari 16, 2024 n...
Imetumwa : January 15th, 2024
Januari 15, 2024, timu ya Maafisa Afya Mazingira ikiongozwa na Ndugu Bakari Hassan Soni, imefanikiwa kufika katika shule za msingi Chemchem, Kibaya,Kaloleni na Ngarenaro kwaajili ya kutoa elimu kuhusu...
Imetumwa : January 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mh. Remidius Mwema Emmanuel, awaasa watumishi wa Halmashauri, taasisi za serikali na binafsi kua na nidhamu nzuri ya kazi na kufanya kazi kwa uadilifu.
Hayo ameyaong...