• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw.Tamim Kambona Azindua Rasmi Kampeni ya Usafi wa Mazingira Kiwilaya Iliyofanyika Kata ya Njoro.

Imetumwa : August 25th, 2020

Aliyeshika "mic" ni Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw.Tamim Kambona Akizindua Kampeni ya Usafi wa Mazingira Kata ya Njoro

Aliyeshika "mic" ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Njoro, Kata ya Njoto Wilaya ya Kiteto Mh. Saidi Athumani Sasu  Akizungumza Katika Uzinduzi Huo

Aliyeshika "mic" ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto Dkt. Paschal Mbota Akizungumza Katika Uzinduzi Huo

Aliyeshika "mic" ni Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Wilaya ya Kiteto Dkt. Israel Akizungumza Katika Uzinduzi Huo

Aliyeshika "mic" ni Afisa Usafi na Mazingira Bw. Keveratus Sibanganya Akizungumza Katika Uzinduzi Huo

Aliyeshika "mic" ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Njoro Bi. Petrolina Mathayo Akizungumza Katika Uzinduzi Huo





--------------------------------------------   HANARI KAMILI   --------------------------------------------




Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara Bw.Tamim Kambona kupitia mradi wa "P4R - Perfomance for Results - Lipa kwa Matokeo" amezindua kampaini ya usafi wa mazingira ikizingatia zoezi la ujenzi wa vyoo bora na matumizi ya vyoo. Uzinduzi huo umefanyika Kiwilaya leo tarehe 24.08.2020 Kata ya Njoro ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Bw.Tamimu Kambona.

Ujumbe maalumu katika uzinduzi huo ni "usichukulie poa nyumba ni choo", hivyo kila kaya inatakiwa kuwa na choo tofauti na ilivyo sasa. Mganga mkuu huyo wa hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Dkt.Pascal Mbota amesema "baadhi ya wananchi hawajaona umuhimu wa matumizi sahihi ya vyoo" lakini kinga ni bora kuliko tiba, suala la kuwa na choo bora na kuweka mazinga ya usafi basi afya pia itaimarika na hivyo utakuwa umejiweka katika mazingira salama ya kutougua mara kwa mara.

Katika uzinduzi huo mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw.Tamim Kambona Tamimu Kambona "amewataka wananchi kuwa na utamaduni wa matumizi ya vyoo akidai madhara ni makubwa. Mgeni rasmi huyo aliendelea kusisitiza kwamba atahakikisha maeneo yote ya huduma za jamii yanakuwa na vyoo na kuwataka wananchi nao makazi yao yawe na vyoo kuepukana na madhara hayo.


Hata hivyo, Ofisi ya Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto imetoa zaidi ya Tshs. Milioni 86,400,000/=  zitakazowezehsa ujenzi wa vyumba vya madarasa 4, ofisi ya waalimu 1 na vyoo Shule ya Msingi Njoro.


Kimsingi hauwezi kuzalisha kama mazingira yanayokuzunguka ni hatarishi kwa afya yako hivyo kuweka hali ya usafi wa maeneo yetu inatupa fursa ya kutumia muda vyema kwenye shuguli za uzalishaji mali kwani kutaongeza ufanisi na tija ya uzalishaji na kuleta matokeo chanya si tu kwa kaya husika bali na kwa taifa kwa ujumla.






Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • "MATUMIZI YA KUNI YALIMNYIMA USINGIZI MHE. RAIS”

    July 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAPOKELEWA WILAYANI KITETO

    July 13, 2025
  • MIRADI MITATU YAWEKEWA MAWE YA MSINGI.

    July 10, 2025
  • JAMII YAASWA KUZINGATIA HAKI ZA WATOTO.

    June 16, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa