Imetumwa : May 14th, 2025
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kiteto, CPA. Hawa Abdul Hassan, amewaasa Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki kufanya kazi kwa kufuata sheria ,taratibu na miongozo.
...
Imetumwa : May 1st, 2025
Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Ndg. Mufandii Msaghaa, ametoa rai kwa wafanyakazi Wilayani Kiteto kufanya kazi kwa kujituma na kutenda haki.
Rai hiyo imetolewa kwenye Maadhi...
Imetumwa : May 30th, 2025
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fedha za maendeleo zilizopokelewa wilayani hapa katika kipindi cha ...