• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu ya msingi

Utangulizi:

Idara ya elimu ya msingi ina shule 90 zikiwemo shule 3 za binafsi Shekinnah, Minnah na Kiteto Christian Center (KCC) shule 87 zilizobaki ni za serikali. Shule hizi zinajumla ya wanafunzi 46,659 wavulana 23,657 na wasichana 23,002 kuna walimu 725 wanaume 412 na wanawake 313.


Majukumu ya idara

Idara zinatekeleza mjukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia sera na miongozo inayotolewa na serikali kuhusu idara ya elimu msingi ndani ya wilaya
  • Kuandaa taarifa zote za kielimu za idara ya elimu msingi ndani na nje ya wilaya
  • Kusimamia mitihani yote ya ndani ya wilaya na ile ya taifa yaani darasa la nne na saba katika shule zote za binafsi na serikali.
  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kuhusu shughuli zote zinazohusu idara ya elimu msingi
  • Kuratibu shughuli zote za michezo (UMITASHUMTA) ngazi ya shule hadi taifa
  • Kusimamia shughuli zote za elimu ya watu wazima na elimu maalum katika Halmashauri
  • Kuratibu shughuli za afya na lishe kwa wanafunzi mashuleni
  • Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya shule  za serikali zote.


Huduma zitolewazo na Idara ya Elimu Msingi.

  • Kuwashauri wazazi/walezi kuwa karibu na watoto wao ili waweze kutimiza malengo ya ndoto zao, kwa mfano:- watoto wakike kutojihusisha na mapenzi wakiwa shuleni. Kuwashauri wazazi/walezi kupata ufahamu kuwa elimu ndio urithi pekee kwa mtoto hivyo watimize jukumu lao la malezi na ufuatiliaji wa wanafunzi wawapo shuleni na nyumbani pia.


 Uandikishaji.

  • Wilaya imefanikiwa kuandikisha jumla ya watoto 9,403 wavulana 4,783 na wasichana 4,620 kuanza darasa la I,2018. Uandikishaji huu ni 97.55% ya lengo la kuandikisha watoto 9,640 wavulana 4,825 na wasichana 4,815

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • AFYA NI MTAJI, TUJITOKEZE KWENDA KUPATA HUDUMA ZA KIBINGWA

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa