2: Miradi inayoendelea 2017/18
| Na
|
JINA LA MRADI |
| 1
|
Ujenzi wa jengo la Halmashauri
|
| 2
|
Ujenzi wa miundombinu (Maabara, Mochwali, Nyumba ya mtumishi, jengo la upasuaji na jengo la kujifungulia akina mama) kituo cha Afya Sunya
|
| 3
|
Ujenzi wa miundombinu (Vyumba 4 vya madarasa, Ofisi na Matundu 6 ya choo) S/Msingi Twanga
|
| 4
|
Ujenzi wa miundombinu (Vyumba 4 vya madarasa, Ofisi na Matundu 6 ya choo) S/Msingi Kazingumu
|
| 5
|
Ujenzi wa miundombinu (Mabweni 2, vyumba 4 vya madarasa, na matundu 10 ya choo) S/Sekondari Engusero
|
| 6
|
Ujenzi wa jengo la Halmashauri
|
| 7
|
Ukamilishaji ujenzi wa uzio wa Hospitali
|
| 8
|
Ujenzi wa majengo 2 (Maktaba 1 na chumba 1 cha maabara) S/Sekondari Partimbo
|
| 9
|
Kukamilisha ujenzi Ofisi ya kijiji cha Sunya
|
| 10
|
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa S/Msingi Boma
|
| 11
|
Kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Katikati
|
| 12
|
Ukarabati wa choo matundu 12 S/Sekondari Njoro
|
| 13
|
Ujenzi wa bweni S/Msingi Ndedo
|
| 14
|
Kukamilisha ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa S/Msingi Azimio
|
| 15
|
Ukarabati wa soko la Kibaya
|
| 16
|
Ujenzi wa bwalo la chakula S/Sekondari Kiteto
|
| 17
|
Ukamilishaji ujenzi wa nyumba ya mwalimu S/Sekondari ECO
|
| 18
|
Ujenzi wa Bwalo la Chakula S/Sekondari Engusero
|
| 19
|
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa S/Msingi Chekanao
|
| 20
|
Ujenzi wa zahanati ya Nchinila
|
| 21
|
Ukamilishaji ujenzi wa kituo cha Afya Songambele
|
| 22
|
Ukamilishaji ujenzi wa zahanati kijiji cha Magungu
|
| 23
|
Ukamilishaji ujenzi wa zahanati kijiji cha Ngipa
|
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa