• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

maji


UTANGULIZI

Idara ya maji ina jukumu la kutekeleza sera ya maji na sheria sambamba na ilani ya chama cha mapinduzi katika kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi kwa umbali usiozidi mita 400. Katika kufanikisha hili idara ya maji ina jumla ya watumishi 6 ambao ni Mhandisi 1, mafundi sanifu 3, mafundi sanifu wasaidizi 2.


MAJUKUMU YA IDARA YA MAJI

  • Kupanga, kusimamia na kuratibu shughuli zote za miradi ya miundo mbinu ya maji ili kuhakikisha kuwa miradi inatekelezwa kwa viwango vya ubora unaokubalika.
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu  kwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Halimashauri wakati wa kuandaa na kutekeleza miraji ya ujenzi wa  miundo mbinu ya maji katika maeneo yote inayotekelezwa miradi.
  • Kusimamia utekelezaji wa sera ,miongozo na sheria  zinazotolewa na serikali juu ya utekelezaji na uendeshaji miradi ya maji ili iweze kuleta tija kwa kuinua uchumi na maendeleo kwa Taifa
  • Kubuni na kusimamia miradi inayoanzishwa na jamii , Taasisi na Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa njia shirikisha jamii kulingana na kanuni na miongozo inayotolewa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Kufanya upimaji  na uchunguzi wa miradi mipya ya maji
  • Kusimamia uundaji wa vyombo vya watumiaji maji kisheria (COWSO)
  • Kusimamia sheria ya utunzaji  wa vyanzo vya maji.


IDARA YA MAJI INAUNDWA NA WATUMISHI WAFUATAO

  • Kaimu Mhandi wa maji Wilaya
  • Fundi Sanifu watatu
  • Fundi Sanifu wasaidizi wawili



MGAWANYO WA MAJUKUMU

Mgawanyo wa majukumu unapangwa na kuratibiwa na Mhandisi wa maji Wilaya kutokana na kazi zilizopo na taaluma ya mtaalamu

 

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI July 23, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA UTENDAJI WA KIJlJI III August 26, 2021
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPTEMBA 2023 September 03, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO KWAAJILI YA MAANDALIZI YA ZOEZI LA UBORESHWAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • TABIA MBAYA ZA WATUMUSHI ZINAHARIBU SIFA ZA TAASISI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KITETO LIMEMPONGEZA RAIS SAMIA.

    May 30, 2025
  • PONGEZI KWA WANANCHI KWA KUTUNZA MAZINGIRA

    April 28, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa