• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu ya sekondari

Utangulizi:-

  • Idara ya Elimu Sekondari ina Shule 18 zikiwemo Shule 17 za Serikali na Shule I ya binafsi. Idara hii inajumla ya watumishi sita wa Makao Makuu ya Halmashauri ambao ni Afisa Elimu Sekondari, Afisa Elimu Taaluma Sekondari, Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Sekondari , Katibu Muhtasi, Mtuza Kumbukumbu za Ofisi na Dereva. Vilevile Idara inajumla ya Walimu 281 wanaume 189 wanawake, 92 na wasio Walimu 21 wanaume 18 na wanawake 3.
  • Majukumu ya idara

Idara inatekeleza majumu yafuatayo:-

  • Kusimamia sera na miongozo inayotolewa na Serikali kuhusu Elimu ya Sekondari ndani ya Wilaya
  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhusu shughuli zote zinazohusu Idara ya Elimu Sekondari
  • Kusimamia mitihani yote ya ndani ya Wilaya na ile ya Taifa yaani Kidato cha Pili, cha Nne na cha Sita
  • Kusimamia, kuratibu na kufuatilia shuhguli za ujenzi wa miundombinu katika Shule za Sekondari kama vile Nyumba za Walimu, Madarasa, Majengo ya Utawala , Maabara, Maktaba na vyoo.
  • Kupokea na kuwapangia vituo walimu na wafanyakazi wa idara wanaohamia au kuwajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za Idara ya Elimu Sekondari za robo na mwaka kuwasilisha kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kama vile Madiwani, Mkoa na Taifa
  • Kuandaa agenda na kuhudhuria vikao vyote halali vinavyohusu Idara ya Elimu Sekondari
  • Kuhakikisha kuwa Shule zote za Sekondari zina samani za kutosha na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa ajili ya walimu na wanafunzi.
  • Kusimamia fedha za Idara za Elimu Sekondari zinatumika kwa kufuata Kanuni, Sheria Taratibu  na Miongozo ya Fedha za Serikali.
  • Kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata Taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa Mujibu wa Sera ya Elimu ya mwaka 1995.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli zote za ukusanyaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu za Idara ya Elimu Sekondari na kuzituma sehemu husika.
  • Kuratibu shughuli zote za michezo (UMISSETA) ngazi ya shule hadi taifa

3. Huduma zitolewazo na Idara

  • Kuwashauri wazazi/walezi kuwa karibu na watoto wao ili waweze kutimiza malengo ya ndoto zao, kwa mfano:- watoto wakike kutojihusisha na mapenzi wakiwa shuleni
  • Kuwashauri wazazi/walezi kupata ufahamu kuwa elimu ndio uridhi pekee kwa mtoto hivyo watimize jukumu lao la malezi na ufuatiliaji wa wanafunzi wawapo shuleni na nyumbani pia.

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI July 23, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA UTENDAJI WA KIJlJI III August 26, 2021
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • Tangazo kwa wanainchi wa Kiteto nafasi za ajira toka jeshi la uhamiaji January 02, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE KITENGO CHA AFYA KINGA KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2022

    October 21, 2022
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE KIPINDI CHA ROBO YA PILI (OCTOBA-DISEMBA 2021)

    January 24, 2022
  • Maafisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakiwa wanapitia rejea ya mafunzo ya PLANREP iliyoboreshwa

    December 22, 2021
  • Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mh.Mbaraka Al Haji Batenga akizungumza kwenye kikao cha maendeleo ya Wilaya (DCC)

    December 16, 2021
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa