Saturday 30th, August 2025
@Mbeli
WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI.
Agosti 1-8 kila mwaka hufanyika Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji maziwa ya Mama Duniani.
Lengo la maadhimisho haya ni kusisitiza umuhimu wa unyonyeshaji wa mama kama njia bora ya lishe kwa mtoto, kumpa mama na jamii elimu kuhusu unyonyeshaji, kuchochea jamii husika, taasisi za afya, na wanaharakati kutengeneza sera na mazingira yanayowezesha unyonyeshaji
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa