• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Asasi ya MWADO Arusha Yaongeza Nguvu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kwa Kutoa Msaada wa Vifaa Kinga vya Kupambana na COVID - 19 leo tarehe 13.07.2020

Imetumwa : July 13th, 2020

Kutoka Kushoto ni Mratibu wa Asasi ya Mwado tawila la Kiteto Bi. Paulina Kiria Akimkabidhi Vifaa Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw. Tamim Kambona Mbele ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmshauri ya Kiteto.


Kutoka Kushoto ni Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kiteto Akielezea Jambo Wakati wa Makabidhiano Hayo Karibu na Ukumbi wa Kitengo cha Ugavi  Mbele ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmshauri ya Kiteto.


Aliyevaa Gauni Refu la Mistari ni Mratibu wa MWADO Tawi la Kiteto Bi. Paulina Kiria na Kushoto Kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw. Tamim Kambona





----------------------------- HABARI KAMILI -----------------------------





Asasi hiyo yenye makao makuu yake Arusha yenye tawi lake Kiteto na Balaza la Wanawake wa Kifugaji (Pastoral Women Council) kwa kushirikiana na wafadhili wao wa Shirika la COMIC RELIEF la Uingereza wametoa msaada huo leo asubuhi, ambapo vifaa kinga hivyo ni Ndoo kubwa (DIABA) 40, Thermal Scanner 2 kwa ajili ya kupimia hali joto kwa binadamu na Sanitizer galoni 30 vyote vikiwa na jumla ya thamani  ya Tshs. 1,720,000/=.

Mratibu wa Asasi ya MWADO tawi la Kiteto Bi. Paulina Kiria amesema tunawasilisha msaada huu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ili kuongeza nguvu kwa Serikali katika kusaidia kupambana na maambuzi ya COVID-19 katika sekta ya elimu hususani sehemu ya shule za sekondari na shule za msingi Wilayani Kiteto.

Akipokea vifaa hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw. Tamim Kambona akiwa na Wakuu wa Idara na Vitengo amesema anawashukuru sana wote waliojitolea vifaa hivi kwa upendo wao kwa wanafunzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kwani bado tunatakiwa kuendelea kujikinga kwani tatizo bado lipo miongoni mwetu hivyo vifaa hivi ni muhimu na vitasaidia sana wanafunzi wetu kujikinga na Covid-19.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa