• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya wilaya ya Kiteto yajenga mama ngojea.

Imetumwa : September 25th, 2017

                                                                                                                    

                                                                                                                         


                                                                                                                

                           Jengo la mama ngojea la hospitali ya wilaya ya Kiteto linavyoonekana kwa  nje.                            

                                                                                                                                                                                


                                                                     Jengo la mama ngojea la hospitali ya wilaya ya Kiteto linavyoonekana kwa ndani.



                                                        Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto   yajenga mama ngojea.


Halmashauri ya wilaya ya Kiteto imejenga jengo la wakina mama wajawazito wanaosubiri kujifungua  linalojulikana  kama mama ngojea.

Mganga mfawizi wa hospitali ya  wilaya ya Kiteto dakari Ramadhani Maingu  amesema kwamba jengo la mama ngojea  ni maalumu kwa ajili ya kina mama wanasubiri  kujifungua ambao wanaviashiria vya hatari na wanaishi mbali na vituo vya afya au hospitali,kwamba badala ya kwenda kusubiria nyumbani ,watasubiri kujifungua  wakiwa katika jengo hilo .

Aidha daktari Maingu amesema kwamba jego hilo lenye vyumba ya kulala ,sehemu ya kupumzikia ,chumba cha mhudumu wa afya , choo na bafu limeshakamilika na linakadiriwa  kuwa na uwezo wa kuingia vitanda kumi na tano, na kwamba magodoro na vitanda viko tayari. Kilichobaki ni ujenzi wa  vyoo vya nje, sehemu ya kufulia  na jiko ambalo  wakina mama hao  watalitumia kujipikia wakati wakisubiri  kujifungua.

Naye  mratibu wa afya ya uzazi na mtoto  Bi Fatuma Kawia amesema kwamba jengo la mama ngojea ni muhimu sana. Katika vikao vya tathmini ya vifo vinavyotokana na uzazi ilionekana kwamba kuwa na jengo la mama ngojea  katika vituo vya afya na hospitali ni moja wapo ya mikakati ya kupunguza  vifo vitokanavyo na uzazi. Kwa sababu wakati wa ujauzito mama akiwa anahudhuria  kliniki na akagundulika kuwa na vidokezo vya hatari,ni bora akashauriwa azalie hospitali.Sasa kwa mama anayeishi mbali na kituo cha huduma akishafika mwishoni mwa ujauzito wake atapaswa kusogea na kujisubiria katika jengo la mama ngojea.

Katika hatua nyingine  wakina mama waliohojiwa  kuhusu jengo hilo la mama ngojea wamesema kwamba wanashukuru sana kwani litawaondolea adha ya kwenda kusubiria nyumbani ,kwani wakati mwingine wamekuwa wakija hospitali wakiwa na dalili za uchungu na wanalazimika  kurudi nyumbani wasubiri hadi uchungu uchanganye,jambo ambalo linasababisha usumbufu kwani uchungu unapochanganya wakiwa majumbani kwao  ambako ni mbali na vituo vya afya au hospitali na usafiri wa kuwafikisha hospitali wakati mwingine unachelewa kupatikana au kukosekana  kabisa hasa nyakati za usiku ,hivyo  kuhatarisha maisha yao na watoto walio tumboni.


Hadi  sasa jengo  hilo la mama ngojea  limegharimu kiasi cha shilingi za kitanzania milioni ishirini ,laki sita na elfu thelasini( 20,630,000), ambapo nusu ya fedha hizo zimetolewa na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto, kutoka katika mapato ya ndani ya halmashauri .

  

                                                             

                                                      

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI July 23, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA UTENDAJI WA KIJlJI III August 26, 2021
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPTEMBA 2023 September 03, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TABIA MBAYA ZA WATUMUSHI ZINAHARIBU SIFA ZA TAASISI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KITETO LIMEMPONGEZA RAIS SAMIA.

    May 30, 2025
  • PONGEZI KWA WANANCHI KWA KUTUNZA MAZINGIRA

    April 28, 2025
  • TUUENZI MUUNGANO WETU

    April 27, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa