Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhe. Remidous Mwema, Juni 10, 2025, aliongoza kikao cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025 wilayani hapa.
Katika kikao hicho, Mhe. Mwema aliwaagiza wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha kuwa wananchi wilayani hapa wanajulishwa kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru ili waweze kushiriki katika mbio hizo ili kuweza kuienzi tunu hiyo ya Taifa.
Wilayani Kiteto, Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa Julai 13,2025 kutoka wilayani Simanjiro.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa