• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kiteto Yaadhimisha Miaka 57 ya Uhuru kwa Bonanza la Watumishi

Imetumwa : December 10th, 2018

Watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza lililofanyika kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanzania bara.Bonanza hilo limefanyika katika uwanja mkuu wa michezo Kibaya mjini.

 Watumishi wakishindana kunywa soda na mkate mzima.


Baadhi ya watumishi wakishindana kukuna nazi .

Watumishi wakicheza draft



............HABARI  KAMILI...........



Watumishi kutoka idara mbalimbali za serikali na taasisi binafsi wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara wameungana na Watanzania wengine katika kuadhimisha miaka 57 ya uhuru wa Tanzania bara  kwa Bonanza la watumishi. Bonanza hilo limefanyika Jumapili  tarehe 09/12 /2018 kwenye uwanja mkuu wa michezo uliopo katika mji mdogo wa Kibaya.


Akizungumza wakati akifunga Bonanza hilo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Mgeni rasmi bi Dhulfa P. Laizer ambaye pia ni Afisa tarafa ya Kibaya  amesema‘‘ Michezo hii ilikuwa ni mashindano , kwenye mashindano huwa kuna washindi na walioshindwa. Ambao  hamkushinda mna nafasi ya kujipanga upya,ili  wakati mwingine tutakapokuwa na Bonanza kama hili,mshinde’'.


Kadhalika bi Laizer amesema kwamba ingawa kuna waliopata ushindi,lakini yeye kwa upande wake kwa jinsi alivyotazama  wakati michezo yote inachezwa, ameona kwamba washiriki wote wamejitahidi kucheza vizuri.Aidha amewashukuru sana kwa bidii na moyo wa kujituma waliouonyesha katika michezo yote.


Washindi wa michezo hiyo wamepewa zawadi mbalimbali .Sambamba na zawadi hizo Bi Laizer amewapongeza washiriki wote kwa kushiriki michezo hiyo, kwani kupitia ushiriki wao ,wameifanya siku hiyo kuwa ya kipekee na ya furaha sana.


Katika Bonaza hilo kulikuwa na michezo mbalimbali , michezo hiyo ni Mpira wa miguu, mpira pete,kukimbiza kuku ,kuvuta kamba,bao,draft, kukuna nazi,kunywa soda kwa wanawake,kunywa soda na mkate mzima kwa wanaume, pamoja na kukimbia ndani ya magunia.




..........MWISHO...........

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa