• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KITETO YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

Imetumwa : June 2nd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga ameipongeza Halmashauri ya Wilaya Kiteto kwa kuendelea kupata Hati Safi ya Ukaguzi.


Akizungumza katika Baraza Maalumu  la kujibu hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ambalo limefanyika Juni 2, 2025 wilayani hapa, Mhe. Sendiga ameeleza kuwa matokeo ya kupata Hati Safi ni dhahiri kua baraza la madiwani pamoja na Ofisi ya Mkurugenzi wamejitahidi katika kusimamia na kufuata sheria na kanuni zilizoweka na hivyo kuiepusha Halmashauri kupata Hati ya Mashaka ama Hati Chafu.


Aidha Mkuu wa Mkoa huyo ametoa pia pongezi kwa Halmashauri kwa kuweza kutekeleza maagizo 10 kati ya 12 yaliyotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).


"Naomba pia niwapongeze kwa utekelezaji wa maagizo hayo 10, yaliyobakia hayo mawili naamini mnaweza kuyamaliza harakaharaka, muongeze bidii na nguvu kidogo  hapo ili kusudi tuweze kuyamaliza", ameongeza Mhe. Sendiga.


Sambamba na pongezi hizo, Mhe. Sendiga amesema kwamba ni marufuku kwa Idara na Vitengo kusababisha hoja na mtumishi yeyote atakayesababisha hoja ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.


Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ilikuwa na Hoja thelathini na mbili (32) zilizofutwa ni hoja kumi na mbili (12) na hoja ishirini (20) ziko kwenye hatua mbalimbali za umalizaji. Mhe. Sendiga ameagiza ifikapo Desemba 31,2025 hoja zote zilizobaki ziwe zimefungwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • Tangazo kwa wanainchi wa Kiteto nafasi za ajira toka jeshi la uhamiaji January 02, 2022
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • AFYA NI MTAJI, TUJITOKEZE KWENDA KUPATA HUDUMA ZA KIBINGWA

    June 05, 2025
  • KITETO YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 02, 2025
  • KITETO TUPO TAYARI KUUPOKEA NA KUUKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa