Habari picha ni Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura pamoja na wasaidizi wao wakiwa katika siku ya pili na ya mwisho ya mafunzo hayo.
Katika kufunga mafunzo hayo leo Oktoba 27, 2025 wasimamizi hao walisisitizwa kuendelea kusoma miongozo, kuishi viapo walivyoapa, kufanya kazi kwa ushirkiano na kuhakikisha wanafungua vituo vyote saa 1 kamili.



"KURA YAKO HAKI YAKO, JITOKEZE KUPIGA KURA"
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa