• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mbunge Kupambana Kutatua Tatizo la Maji Makame

Imetumwa : August 13th, 2018


Mbunge wa jimbo la Kiteto  Mhe. Emmanuel Papian  akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika makao makuu ya kata ya makame wilayani Kiteto,wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo katika jimbo lake.


Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kiteto Ndg. Mohamed Kiondo akizungumza katika mkutano huo.

Katibu wa mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni diwani wa kata ya Kaloleni  Mhe. Christopher Permet akizungumza katika mkutano  huo.


Wananchi wa kata ya makame wakiwasilisha kero zao kwa mbunge katika mkutano huo.

Wananchi wa kata ya makame wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara  kumsikiliza mbunge wao Mhe . Emmanuel Papian.




........HABARI KAMILI......



Mbunge wa Kiteto Mhe. Emmanuel Papian ameahidi kushughulikia tatizo la maji katika kata ya makame.Mhe Papian ametoa ahadi hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya makame,wakati wa ziara yake katika kata hiyo.

Akizungumza katika mkutano huo Mhe. Papian amesema kwamba anafahamu kuwa  Makame kuna shida ya maji, na kwamba yeye pamoja na viongozi wengine kwa muda sasa wamekuwa katika kufikiri ni kwa namna gani watatatua kero hiyo ya maji. Amewahakikishia wananchi hao kwamba tatizo hilo linashughulikiwa ,na kwamba  katika mwaka  wa fedha 2018/2019 atahakikisha kuwa maji yanapatikana katika kata hiyo kama ambavyo yamepatikana katika kata ya Ndedo.

 Mhe Papian ameeleza namna ambavyo tatizo hilo la maji linaweza kutatuliwa, Mhe. Papian amesema “Kuna kisima hapa,hakijafungwa pamp, tunataka tupambane ,tuhangaikie  tupate mkandarasi aje hapa kisima kifungwe pampu, kifungwe sola,na hata ikiwezekana kisima kingine kichimbwe maji yapatikane hapa makame”.

Aidha Mhe. Mbunge amesema kwamba kazi yake kubwa ni kusukuma maendeleo, hivyo amewataka  wakazi wa kata ya makame kuendelea kushirikiana nae ili kwa pamoja waweze kuleta  maendeleo katika kata hiyo .

Kadhalika Mhe. Papian ameeleza mikakati  yake ya kuboresha sekta ya elimu , Mhe. Papian amesema “Tunataka kuinua kiwango cha elimu hapa makame, mkakati wetu ni kwamba katika ajira  za serikali za mwaka 2018/2019  tutaongeza walimu hapa.Tunajenga madarasa, tunajenga bweni, wanafunzi wakae bwenini wasome vizuri”.

Katika mkutano huo pia wananchi wa makame wamewasilisha kero  kwa mbunge wao, huku kero kubwa ikiwa ni tatizo la maji na ugonjwa wa maralia, ambapo ugonjwa huo umesababisha vifo vya wanafunzi 5 wa shule ya msingi makame.Akijibu kuhusu tatizo la ugonjwa wa malaria Mhe Papian amewataka wazazi na walezi wote kuhakikisha kwamba wananunua vyandarua,watoto wao na wao wenyewe walale katika vyandarua ili kujikinga na mbu,  kwa upande wa tiba Mhe . Papian ameahidi kuzungumza na wahusika kwa lengo la kuweka utaratibu wa kupeleka  dawa nyingi za malaria ,wananchi wanapougua waweze kupata dawa mapema ,ili vifo vinavyotokana na malaria visiendelee  kutokea katika kata hiyo.



............MWISHO................


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA: HATIMAYE KALOLENI YAPATA SHULE MPYA YA MSINGI

    July 30, 2025
  • SHULE YA MSINGI KINANGALI NAYO YANUFAIKA NA MRADI WA BOOST

    July 30, 2025
  • SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAENDELEA KUWEKEZA KWA VITENDO: KURASH YAPATA MRADI MWINGINE WA MILIONI 153 KUPITIA BOOST

    July 30, 2025
  • KATA YA BWAWANI YAPATA MRADI WA SHULE MPYA YA ELIMU MSINGI.

    July 28, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa