• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Awaagiza Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Kutofanya Kazi Kwa Mazoea.

Imetumwa : September 11th, 2020

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Akizungumza na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Asubuhi ya Tarehe 10.09.2020 (picha maktaba)



-------------------------------------------   HABARI KAMILI   -------------------------------------------




Mh. Mkuu wa Mkoa huyo alifika wilayani Kiteto tarehe 10.09.2020 kwa shuguli za kikazi ya siku moja ambapo aliongea na wafanyakazi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto  kisha  kutoa maagizo ya  "kutofanya kazi kwa mazoea  na kujitahidi kutumia weledi na kushirikiana na wenzako siku zote".

Mh. Mkuu wa Mkoa Joseph Mkirikiti alisema " huko nje kwa kipindi cha nyuma Kiteto ilikuwa inajulikana kama wilaya ya migogoro ya wakulima na wafugaji lakini migogoro hiyo japo kwa kiasi kikubwa imepungua sana lakini bado tunatakiwa tutumie wataalamu waliopo ili kupunguza kero hizi na hatimaye kutokomeza kabisa hali hiyo kutijirudia tena"

Aidha kuhusiana na wafanyakazi kuwa wachache katika kila idara na vitengo katika halmashauri, Mh. Mkuu wa Mkoa huyo alisema " ni muhimu sana kuwa wazalendo kwani mtaalamu aliyepo katika halmashauri makao makuu hapa awatumie Maafisa Tarafa, Maafisa Watendaji wa Kata na Maafisa Watendaji wa Vijiji kwani wao wana watumishi wengi watafanya hizo kazi kwa muda mfupi na kupata majibu ya haraka."

Dhana ya ugunduzi, ubunifu na ushirikiano wa kikoa ni muhimu sana katika kazi ili kufanikisha majukumu yetu mbalimbali ya kuwasaidia wananchi lakini tukiwekeana vikwazo sisi kama watumishi, kwa kila mtu kujiona yeye ni bosi basi kila kitu tunachokipanga hakitafanikiwa.

Hata hivyo Mh. Mkuu wa Mkoa huyo Joseph Mkirikiti aliendelea kwa kusema "Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mh. Rais Dkt. J.P.Magufuli imefanya kazi kubwa sana kwa muda mfupi wa miaka hii 5 kuanzia sekta ya Afya katika ujenzi wa Hospitali na vituo vya Afya nchi nzima, sekta ya miundombinu ujenzi wa reli ya kimataifa, barabara, madaraja, vivuko na upanuzi wa viwanja vya ndege, sekta ya anga ununuzi wa ndege, sekta ya nishati ujenzi wa mradi mkubwa wa ufuaji wa umeme wa Nyerere hydro electric power, usimamiaji mzuri wa sekta ya madini na utalii yote haya yameifanya nchi kupaa hadi kuingia uchumi wa kati". Sasa hivi mtu anatoka Mkoa wa Mtwara hadi Mkoa wa Kagera - Bukoba kwa gari ndogo akiwa kwenye barabara ya lami kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo, kwa hiyo nasisi tumuunge mkono kwa kufanya kazi kwa bidii Mh. Rais Dkt J. P. Magufuli ili tupate mafanikio makubwa zaidi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa