• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED Kiteto Aongoza Zoezi la Usafi wa Mazingira

Imetumwa : December 9th, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya  ya Kiteto (aliyeshika mfagio kushoto) Ndg. Tamim H. Kambona akijumuika na watumishi wengine katika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Wilaya - Kiteto, Mjini Kibaya leo siku ya Uhuru 09.12.2018. Kulia kwake ni Mganga Mkuu (W), Hospitali ya Wilaya Dkt. Paschal Mbota.



Mkurugenzi Mtendaji  wa Wilaya - Kiteto (aliyeshika  mfagio kushoto) 


Watumishi wa Taasisi mbalimbali wakifanya usafi eneo la Hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Mjini Kibaya



............HABARI KAMILI.............



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto ndugu Tamim H. Kambona ameongoza  watumishi kutoka taasisi mbalimbali za serikali kama vile Halmashauri, Magereza, Polisi , Mahakama na Takukuru kwenye zoezi la kufanya usafi wa mazingira katika hospitali ya wilaya .Usafi huu umefanyika kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 03:00 asubuhi. 


Zoezi hilo la kufanya usafi ni  utekelezaji kwa vitendo wa maagizo ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. J.P.J. Magufuli kwamba katika kuazimisha siku hii muhimu kwa wanachi na Taifa letu, tufanywe usafi wa mazingira katika maeneo yote ya kutolea huduma za afya kote nchini.


Aidha katika utaratibu wa kawaida  , zoezi la usafi wa Mazingira hufanyika kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi,ambapo wakazi wote wa wilaya hii ,walio watumishi na wasio watumishi hufanya usafi katika maeneo yao ya kazi,biashara na makazi .Na kwa mwezi Disemba zoezi hilo litafanyika tarehe  29.12.2018 kama tanzazo linavyoonyesha sehemu ya matangazo ya tovuti hii na katika mbao za matangazo ofisi za Serikali, Kata na Vijiji.


Baada ya zoezi la usafi ,watumishi walielekea katika uwanja mkuu wa michezo  kwa ajili ya kushiriki kwenye Bonaza la watumishi,lililoandaliwa na ofisi ya Mkurugenzi  wa halmashauri chini ya usimamizi wa  afisa michezo(W) na afisa utamaduni (W).




.................MWISHO....................

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa