• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh. Eng.Tumaini Magessa akagua zoezi la mafunzo ya uboreshaji daftari la wapiga kura katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya, Jimbo la Kiteto leo asubuhi.

Imetumwa : July 25th, 2019

Kuanzia kushoto ni Bw. Partrick Mlay ambaye ni Mkaguzi Mkuu wa nje, Bw. Stefano Ndaki - Katibu Tawala Wilaya ya Kiteto, Bw. Tamim Kambona

 Afisa Mwandikishaji Mkuu ngazi ya Jimbo na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh. Eng. Tumaini Magessa.



HABARI KWA UFUPI.....

Katika ukaguzi huo Mkuu wa Wilaya Mh. Eng.Tumaini Magessa amesisitiza Afisa Mwandikishaji Ngazi ya Jimbo Bw. Tamim Kambona  ahakikishe uhamasishaji  unakuwa wa kutosha kwa kila eneo lakini pia na wahusika wote wanaoendesha zoezi hili wawe mabalozi wazuri kuanzia sasa hadi kuisha kwa zoezi hili kwa Jimbo letu la Kiteto ili wananchi wajitokeze kwa wingi kwani ndiyo mafanikio  Serikali inayoyataka.


Mkuu wa Wilaya Mh. Eng. Magessa amewaasa wahusiaka kuzingatia mafunzo haya elekezi kwa faida ya nchi yetu, kwani Serikali imetumia rasilimali nyingi kuwekeza katika rasilimali watu na vifaa mbalimbali vinavyotumika katika zoezi hili ili kuhakikisha kila mwananchi mwenye sifa ya kuandikishwa apate haki yake.


Mh. Eng. Magessa aliongozana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kiteto Bw. Stefano Ndaki pamoja na Afisa Mwandikishaji Ngazi ya Jimbo Bw. Tamim Kambona.

------------------------------------------------------------------- NAWASILISHA -----------------------------------------------------------------



Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa