• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (PSSN) Wapata Mafanikio Makubwa Wilayani Kiteto.

Imetumwa : June 27th, 2017

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Ndg. Tumaini Magesa ambaye alikuwa mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini (PSSN) wakati wa zoezi la utoaji za Vitambulisho vya Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (iCHF) Zoezi hilo lilifanyika katika Ofisi ya Kijiji cha chapakazi kata ya chapakazi. Waliombatana na Mkuu wa Wilaya kushoto kwake ni Mh.Lailumbe Mollel Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kiteto na Diwani wa Kata hiyo ya Chapakazi,kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamati ya Huduma za Jamii na Diwani wa Dosidosi Mh. Hassan Benzi.

Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (PSSN) Wapata Mafanikio Makubwa Wilayani Kiteto
Mpango wa kunusuru kaya maskini (PSSN) umepata mafanikio makubwa wilayani Kiteto ambapo kaya  4835  zimejiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii . Walengwa wa PSSN kujiunga na mfuko wa iCHF ni mafanikio makubwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) kwani kupata uhakika wa huduma za afya na matibabu ni nyenzo muhimu katika kuziwezesha kaya masikini kujikwamua kiuchumi. Mafanikio mengine ni pamoja na mahudhurio kwenye shule na vituo vya afya (kliniki) kuongezeka hususani kwa watoto wanaotoka kwenye kaya zinazonufaika na mpango.Pia walengwa wameboresha makazi yao kwa kujenga nyumba bora na wengine kukarabati nyumba zao . Kaya 4320 zimeanzisha miradi ya kiuchumi kama vile ufugaji kuku, bata, nguruwe na mbuzi na kujiunga kwenye vikundi vya kuweka na kukopa  kutokana na pesa  zinazotolewa na mfuko  ambapo Kiasi cha shilingi 70,976,970.00. Kati ya kiasi hicho shilingi 69,787,000.00 (88%) zimelipwa kwa walengwa na shilingi 1,189,970.00 (1.5%) zimetolewa kwenye vijiji kwa ajili ya uwezeshaji na usimamizi kaya 159 zinanufaika ambapo vijiji vya Chapakazi na Asamatwa ni miongoni mwa vijiji 39 vinavyonufaika na mpango huu.  

Pamoja na mafanikio yaliyopatikana,  PSSN inakabiliwa na changamoto kadhaa kama vile baadhi ya walengwa kutumia isivyostahili ruzuku inayotolewa mfano  kunywea pombe, kuongeza wake na baadhi ya wanaume kuwanyang`anya fedha wake zao ambao ndio wawakilishi wa kaya na kuzitumia katika matumizi yasiyo na tija.

Aidha Katika kukabiliana na changamoto hizo hatua mbalimbali zimechukuliwa ikiwemo halmashauri kwa kushirikiana na uongozi wa vijiji  kubadilisha wawakilishi wa kaya.Pia Ofisi ya TASAF kwa kushirikiana na uongozi wa vijiji na kamati ya usimamizi kutoa elimu kwa walengwa ili kutumia ruzuku kwa njia ya tija na endelevu.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • JAMII YAASWA KUZINGATIA HAKI ZA WATOTO.

    June 16, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa