• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC Mnyeti Avunja Uongozi wa Kijiji Wilayani Kiteto

Imetumwa : January 18th, 2018


Wakazi wa Kata ya Kijungu Wakimsikiliza Mkuu  wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti  Kwenye  Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata Hiyo Wilayani Kiteto


                                             Mkuu  wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti Akizungumza na Baadhi ya Wananchi Mara Baada ya Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Kata ya Kijungu Wilayani Kiteto


RC  Mnyeti Avunja  Uongozi wa Kijiji

Mkuu wa mkoa wa Manyara mheshimiwa Alexander Mnyeti  ameuvunja  uongozi  wa kijiji  cha Kijungu kilichopo katika kata ya Kijungu wilayani Kiteto baada ya kugundua kuwa kuna matumizi  yasiyoeleweka ya fedha za kijij yaliyofanywa na uongozi huo wakishirikiana na diwani wa kata ya Kijungu bibi Mandalo Mussa. Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Kijungu wilayani Kiteto.

Akiwa katika mkutano huo Mhe. Mnyeti alimtaka mwenyekiti wa kijiji hicho  kutoa maelezo  kuhusu fedha hizo za kijiji , ambapo maelezo yake yalisababisha Mhe. Mnyeti kutoa amri ya kukamatwa kwa mwenyekiti  huyo  kwa tuhuma za kushiriki katika wizi wa  fedha za wananchi. Kadhalika  Mhe. Mnyeti aliwaita wajumbe wote wa serikali ya kijiji, na kuwahoji kuhusu fedha hizo .Hata hivyo maelezo yao yalimsababisha Mhe. Mnyeti kufikia maamuzi ya kuuvunja uongozi wa kijiji hicho. Akizungumza wakati anatoa maamuzi hayo Mhe. Mnyeti anasema ‘‘Nimeuvunja rasmi uongozi wa kijiji hiki.Hatuwezi  kuwa na viongozi ambao wanaiba  fedha za wananchi. Mkurugenzi itisha uchaguzi mara moja kijiji hiki  kipate uongozi mwingine”.

Katika kata ya Kijungu kumekuwa na mgogoro ambao umedumu kwa muda sasa kati ya Mhe. diwani wa kata hiyo na mwenyekiti wa kijiji cha Kijungu ,mgogoro  unaohusisha matumizi ya fedha za kijiji ambayo yanadaiwa kufanywa na Mhe. Diwani wa kata ya Kijungu kinyume na makubaliano yaliyokuwepo kati ya uongozi wa kijiji hicho na Mhe. diwani, hali ambayo imesababisha Mhe. diwani huyo kukamatwa na kuwekwa mahabusu siku chache  kabla ya ziara ya Mhe. Mnyeti katika kata hiyo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI.

    June 12, 2025
  • KIKAO CHA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU 2025

    June 11, 2025
  • WATOTO WA UMISSETA KITETO, WAWATOA JASHO WATU WAZIMA!

    June 10, 2025
  • WALIMU KITETO WAPEWA MAFUNZO YA AFUA JUMUISHI ZA ELIMU YA AFYA SHULENI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa