Habari picha ni wananchi wa kitongoji cha Kinangali kata ya Laiseri, waliojitokeza Julai 24, 2025 kwenye mkutano wa kuutambulisha mradi wa BOOST katika shule ya Msingi Kinangali.
Mradi huo wenye thamani ya milioni 157.7 ni kwaajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na vyoo matundu sita kwaajili ya elimu msingi pamoja na madarasa mawili ya mfano ya elimu ya awali pamoja na vyoo matundu sita kwaajili ya wanafunzi darasa la awali.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa