• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

“Tutahakikisha Tunakamilisha Miradi Yote”DED Kiteto

Imetumwa : January 30th, 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto Ndg. Tamim H. Kambona.



............HABARI KAMILI................




Mkurugenzi wa Halmashauri ya  wilaya ya Kiteto ndugu Tamim Kambona amesema kwamba Halmashauri yake itaweka nguvu katika miradi yote ya ujenzi wa miundo mbinu ya elimu ili kuunga mkono juhudi za wananchi sambamba na kuwezesha majengo hayo kuweza kutumika ili kupunguza changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa,mabweni na nyumba za walimu wilayani hapa.Kambona ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya uongozi ya Halmashauri cha kujadili na kupitisha bajeti kilichofanyika Jumatatu ya tarehe 28-01-2019 kwenye ukumbi wa halmashauri .


Akizungumza wakati wa kikao hicho Kambona amesema “ Tunawajibu wa kukamilisha miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,mabweni pamoja na nyumba za walimu ambazo zimejengwa kwa nguvu za wananchi.Majengo hayo yanavyoendelea kukaa tu kama maboma bila kumaliziwa, tunawavuja moyo wananchi.Wametumia nguvu na mali zao, ni lazima na sisi tuonyeshe kwamba tunajali juhudi zao,tutakuwa tukikamilisha jengo moja baada ya jingine kwa kadiri tutakavyokuwa tukipata fedha .”


Kambona amekuwa akifanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha kwamba Halmashauri yake inapiga mbio katika suala zima la maendeleo.Hadi sasa ,chini ya uongozi wake, miradi mbalimbali ya maendeleo yenye viwango vya ubora vya hali ya juu imetekelezwa.Mfano kwenye sekta ya elimu; madarasa ,vyoo na mabweni yamejengwa katika shule mbalimbali za msingi na sekondari, mengine yamekarabatiwa,sambamba na unuzi wa samani kama meza,viti,vitanda na magodoro  ili kuwawezesha watoto wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani hapa,kusoma katika mazingira mazuri.



...........MWISHO.......

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA: HATIMAYE KALOLENI YAPATA SHULE MPYA YA MSINGI

    July 30, 2025
  • SHULE YA MSINGI KINANGALI NAYO YANUFAIKA NA MRADI WA BOOST

    July 30, 2025
  • SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAENDELEA KUWEKEZA KWA VITENDO: KURASH YAPATA MRADI MWINGINE WA MILIONI 153 KUPITIA BOOST

    July 30, 2025
  • KATA YA BWAWANI YAPATA MRADI WA SHULE MPYA YA ELIMU MSINGI.

    July 28, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa