Hiyo ni Baadhi ya Eneo la Bararaba hizi za Mji wa Kibaya Wilayani Kiteto katika Ukarabati huo.
Mafundi Katika Kazi Tofauti Tofauti Wakiwa Wanaendelea na Kazi Husika Kama Wanavyoonekana.
Kisha Baada ya Ukarabati Kuisha Tutapata Barabara Zenye Muonekano Huu, Kwa HAPO CHINI...
Baadhi ya Mitaro ya Maji iliyokamilika
Kutokana na mvua kuwa nyingi hali iliyopelekea kuharibu baadhi ya sehemu za barabara hii hivyo kuirudishia katika hali yake ya awali ni muhimu zaidi kuhakikisha inapitika bila shida. Ukarabati huu ulianza Machi 2017 ambao unaendelea hadi Julai 2017 kwa fedha za Serikali kupitia Bodi ya Barabara.
Kampuni ya Dema Construction Co. Ltd ya Mkoani Kilimanjaro ndiyo inayofanya ukarabati huu kwa kushirikiana na Mshauri Muelekezi ambaye ni Mhandisi wa Wilaya ya Kiteto Eng. Matindi.
Taarifa kamili ya Ukarabati huu itatolewa baada ya kuisha kwa ukukarabati huu.
Ahsanteni
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa