Taarifa kwa Watumishi wa Umma Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto.
Ofisi za NIDA ngazi ya Wilaya ya Kiteto inaendelea na zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wote wa Halmashauri ambao walijiandikisha, Tafadhali unaombwa kufika katika Ofisi yetu iliyopo jengo la Idara ya Maji (W) kuchukua kitambulicho chako, muda ni kuanzia saa 02:00 asubuhi hadi saa 9:30 Alasiri.
Ahsante.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa