Menejimenti ya Halmashauri (CMT) Yakagua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo Wilayani Kiteto Kuanzia Tarehe 13-15/06/2017 Ili Kuhakiki na Kujiridhisha Uhalisia wa Utekelezaji na Kubaini Changamoto Zilizopo na Kuzitatua Kwa Wakati.
Imetumwa : June 16th, 2017
Kutoka Kushoto ni Mtaalamu, Kisha Mh. Diwani Kata ya Kiperesa (aliyevaa kaki) wakitoa maelezo ya Miradi ya Maendeleo Iliyoitembelewa. Mwenye Suti Nyeusi ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji - Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw. John Malle, Wengine ni Kaimu Afisa Mipango (W) Bw. Edga Kavenuke (Shati jekundu), Mwandishi wa Vikao Bw. Athumani Kituru (bluu bahari) na Mwisho ni Mtunza Hazina wa Wilaya Bw. Nassoro Mkwanda, Kaimu Afisa Elimu Msingi (W) Bw. Nyongo
Maghala Mawili (2) Ambapo Kila Moja Lina Uwezo wa Kuhifadhi Gunia Zaidi ya Elfu Tatu (3000) Hizi ni Fursa na Vitega Uchumi vya Kudumu kwa Wananchi wa Kata ya Kiperesa.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji - Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw. John Malle (Mwenye Suti Nyeusi) Katika Zoezi hilo la Ukaguzi Shule ya Msingi Chekanao.
UJenzi wa Vyumba vya Madarasa Matatu (3) Unaendelea Shule ya Msingi Chekanao.
Matofali na Malighafi kwa Ujenzi Huo.
Ujenzi wa Wodi Zahanati ya Matui
Ujenzi wa Jengo la Zahanati Kijiji cha Nchinila.
Ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Songambele.
Mhandisi wa Halmashauri (W) G.Matindi akihakiki Mlango na Kitasa Husika.
Mhandisi wa Halmashauri (W) G.Matindi Akitoa Maelezo, Hili ni Shimo la Maji Taka Katika Zahanati Hii ya Kijiji cha Emarti Kata ya Magungu.
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa manne (4) shule ya Msingi Dongo Kata ya Dongo.
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Mawili (2) Shule ya Sekondari Engusero.
Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Matatu (3) Shule ya Sekondari Loolera, Kata ya Loolera.
Choo cha Matundu Sita (6) Shule ya Msingi Loolera, Kata ya Loolera.
Malighafi za Ujenzi wa Shule Hii Unaoendelea.
Ujenzi wa Vyoma vya Madarasa Mawili (2) Shule ya Msingi Engusero Sidani.
Ujenzi wa Nyumba ya Walimu (2 kwa 1) Shule ya Msingi Engusero Sidani Kata ya Laiseri.
Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Kama Bango Linavyoonyesha Hapo Juu. Msimamizi wa Ujenzi Husika Akitoa Maelezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) Kiteto Bw. John Malle (kulia mwenye sweta la kahawia), Hao Wengine ni Timu ya Menejimenti ya Halmashauri.
Ukamilishaji wa Zahanati Kijiji cha Ngipa Kata ya Engusero.
Changamoto za mradi huu.
Upatikanaji wa Fedha ili kumalizia Mradi.
Jengo limepauliwa na kwa sasa lipo katika hatua ya umalizia kwa kujenga gebo na louvers , plasta, sakafu, skimming, kupiga rangi milango na madirisha,
Mafundi wanapatikana mbali kwa hiyo gharama za mradi zinaongezeka toka utengenezaji hadi usafirishaji.
Gharama za utengenezaji wa milango na madilisha zinatoka mbali hivyo kupelekea gharama za mradi kuongezeka toka kutengeneza hadi kusafirisha.
Ukarabati wa Josho Kijiji cha Namelock.
Ukarabati umeshafanyika hadi sasa mradi unatumika kwa jamii husika kama unavyoziona picha hapo juu.