• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WASICHANA WA SM PARTIMBO WAPATA VYOO NA MABAFU

Imetumwa : February 12th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Kiteto CPA. Hawa Abdul Hassan, amezindua mradi wa vyoo matundu manne na mabafu manne katika Shule ya Msingi Partimbo iliyopo Kata ya Partimbo baada ya vyoo vya awali kutitia mwezi Desemba 2023.

Uzinduzi huo umefanyika shuleni hapo Februari 12, 2024 na kushuhudiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Mh.  Kassimu Msonde Diwani wa Kata ya Kibaya, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Partimbo Ndugu Kimerei Masiaya pamoja na wataalamu kutoka ofisi ya  Mkurugenzi Mtendaji, wazazi, walimu wa shule ya Msingi Partimbo na shule jirani pamoja na wanafunzi.

                                                                                                                         

Akisoma taarifa ya mradi huo kwa Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji (W), Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bi. Mariamu Abdallah Swalehe, amesema kwamba ujenzi huo ambao umegharimu jumla ya kiasi cha fedha 17,857,000 ulianza kutekelezwa Desemba 15, 2023 na umekalimika Februari 9, 2024.

Aidha Mwalimu Mkuu huyo amesema kwamba kukamilika kwa mradi huo kumeondoa adha ya wanafunzi wasichana 164 ambao walikua wanalazimika kutembea mita zaidi ya 100 kufata vyoo vya SWASH wakati wa usiku.

Vilevile Bi. Mariamu alishukuru kwa ushirikiano walioupata kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kuanzia kipindi cha maandalizi, utekelezaji na hatimaye ukamilikaji wa mradi huo.

Naye Mkurugenzi Mtendaji (W), amesema kwamba ameufurahia mradi huo ambao umetekelezwa katika ubora na aliupongeza uongozi wa shule, mwenyekiti wa Kamati ya Shule, jamii na walimu kwa kuusimamia vizuri na hatimaye kukamilika kwa wakati.

                                                                                                    

                                                                                                                  

Pia aliwaasa wanafunzi wanufaika wa mradi huo kuthamini mradi huo kwa kutunza usafi wa vyoo hivyo na mabafu hayo.

                                                                                                              

Pia alitoa ombi kwa Mwenyekiti wa Kitongoji, kamati ya shule na jamii  kuanza maandalizi kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wasichana wenye uhitaji maalumu ambao utagharimu kiasi cha fedha 128,000,000 kutoka serikali kuu.

Naye Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi, Ndugu Papakinyi Kaai, ameupongeza uongozi wa shule, kamati, jamii pamoja na Mhandisi wa Ujenzi wa Wilaya Ndugu Felician Mbugi kwa usimamizi wao mzuri wa mradi huo.

                                                                                                                    

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 01, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DAS KITETO AWAHIMIZA WANANCHI KUJENGA UTAMADUNI WA UWEKEZAJI.

    September 11, 2025
  • UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS B) NI TISHIO LA MAISHA LAKINI TUMAINI LIPO KUPITIA CHANJO

    September 04, 2025
  • DC MWEMA AFUNGUA RASMI ZAHANATI YA ENGUSERO SIDAN

    August 31, 2025
  • SAFARI YA KM 42 KUFUATA HUDUMA ZA AFYA SASA NI HISTORIA NDIRIGISHI

    August 30, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa