"Nitumie fursa hii kutoa wito kwamba; unapoona mbwa au mnyama mwenye dalili zisizo za kawaida, unatakiwa kutoa taarifa kwa Mtaalamu wa Mifugo aliyeko karibu au Serikali ya Kijiji/Mtaa wa eneo lako. Na kwa mtu aliyeng’atwa na mbwa mwenye dalili za kichaa lazima apatiwe huduma ya kwanza na kisha kupelekwa kituo cha Afya ili apate huduma," amesema Bi Agnes Meena ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kichaa cha Mbwa Kitaifa yaliyofanyoka wilayani hapa.
Kauli mbiu ya maadhimisho haya kwa mwaka 2025 ni "Kichaa cha Mbwa kinazuilika: Chukua Hatua Sasa,Mimi, Wewe na Jamii"
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa