• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Usajili wa Vitambulisho vya Uraia katika Ofisi za Usajili Wilaya (NIDA) unaendelea vizuri kwa Wilaya ya Kiteto.

Imetumwa : April 27th, 2017

Kushoto ni Maafisa Usajili wa NIDA na kulia ni Wateja wao ambao kwa hatua ya awali Mteja huingia katika chumba hiki ili kupokea taarifa kwa utaratibu maalum kama wanavyoonekana hapo juu.

Zoezi lililopo kwa sasa ni la usajili kwa Wananchi kwa Kata za jirani yaani Kibaya na Kaloleni tu, kisha Kata zingine zitafuata. Kila muhusika lazima aanzie katika Ofisi za Serikali za Mitaa kisha utaelekezwa kuja Ofisi ya NIDA Wilaya ambazo zipo katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto jengo la Idara ya Maji (W) karibu kabisa na Ofisi za TANESCO Wilaya ya Kiteto.

Zoezi la uchukuaji wa Vitambulisho vya Uraia katika Ofisi ya NIDA Wilaya ya Kiteto kwa Watumishi wote umesitishwa hadi hapo Ofisi ya Usajili Nida (W) itakapotoa taarifa.

Kushoto ni Afisa Usajili wa NIDA Bi. Beatrice Muhina akimuelekeza mwananchi taratibu za kufanya kapitia vifaa husika ili kuwezesha kuingiza taarifa za Mteja huyu kwenye Mfumo wa kujisajili.



Afisa Usajili wa NIDA Bi.Beatrice Muhina (kushoto) akiingiza taarifa za Mteja kwa hatua mbalimbali.

Kimsingi, kwa sasa wananchi wote wa Kata ya Kibaya na Bwagamoyo wanakaribishwa kujisajili, ni muhimu na  vitambulisho hivi ni bure kwa kila mwananchi. 

Taarifa hizi ni kwa mujibu wa Afisa Usajili (W) Bi.Beatrice Muhina Ofisi ya NIDA Wilaya ya Kiteto.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA SEPTEMBA 2025 September 16, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 01, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KITETO YAJIPANGA KIKAMILIFU KUTEKELEZA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 07, 2026
  • MRADI SHULE MPYA YA MSINGI KATA YA KALOLENI KUPUNGUZA ADHA YA WANAFUNZI KUTEMBEA UMBALI MREFU.

    December 30, 2025
  • HABARI PICHA:

    December 23, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WILAYANI KITETO WAASWA KUTUMIA MIKOPO HIYO KAMA FURSA KUJIKWAMUA KIUCHUMI.

    December 08, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa