Zoezi la uhawilishaji fedha kwa walengwa wa TASAF,dirisha la malipo la Mei - Juni limeanza.Zoezi hilo litadumu kwa muda wa siku sita ,ambapo litafanyika katika maeneo mbalimbali ambayo yapo kwenye mpango huo katika wilaya ya Kiteto.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa