• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wataalamu wa Mradi wa Bomba la Mafuta Litakalotoka Nchini Uganda Hadi Jiji la Tanga - Tanzania Watoa Elimu ya Awali kwa Wadau Wilayani Kiteto Juu ya Faida, Athari za Kimazingira na Jamii Zitakajitokeza na Kuzizuia Kutokana na Ujio wa Mradi Huu.

Imetumwa : May 22nd, 2017

Mgeni Rasmi Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Tumaini Magessa Akifungua Mkutano Huo Uliofanyika Katika Ukumbi wa Halmashauri (W) Tarehe 22.05.2017, Kushoto ni Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri (W) Kiteto Lairumbe Mollel na Kulia ni Katibu Tawala (W) Kiteto Bw. S. Ndaki.

Mkurugenzi Mtendaji (W) Kiteto Bw. Tamim H. Kambona Akiwatambulisha Wadau Mbalimbali wa Mkutano.

Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri (W) Kiteto Lairumbe Mollel Akisalimia Wajumbe Mbalimbali Waliohudhuria Mkutano huo.

Katibu Tawala (W) Kiteto Bw. S. Ndaki Akimkaribisha Mgeni Rasmi ambaye ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Tumaini Magessa. Kulia ni Mwakilishi Kutoka  Shirika la JSB Bibi. Saada Juma.

Mwakilishi wa Shirika la JSB Bibi. Saada Juma Akiwasilisha Mada ya Mradi wa Bomba la Mafuta.



Kisha Ulifika Wakati wa Wadau hawa Kuuliza Maswali ili Kupata Majibu na Uelewa Zaidi Juu Mradi Huu.

Mwakilishi wa Shirika la JSB Bibi. Saada Juma Akijibu Maswali Mbalimbali Yaliyoulizwa na Wadau.


Faida kwa nchi kuhusiana na Mradi huu kwa uchache ni hizi zifuatazo:-

  1. Kuongeza ajira kwa wananchi watakaoshiriki katika kazi mbalimbali.

  2. Kuongeza kipato kitakachotokana na kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu kwa wafanyakazi hawa.

  3. Kuboresha miundombinu ya jamii kama vile maji, barabara na vinginevyo.


Mpenzi Msomaji Pakua Taarifa Kamili Ambayo ni Muhimu ili Uelewa Vizuri kwa Maelekezo machache, Ramani na Picha za Mitambo Hapo Chini .....

Mawasiliano zaidi Ukurasa wa KWANZA.pdf

Mchakato wa Tathmini ya Athari kwa Mazingira na Jamii Ukurasa wa PILI.pdf

Jinsi gani Utashirikishwa Ukurasa wa TATU.pdf

Uchunguzi wa Mazingira na Jamii Utakaofanyika Ukurasa wa NNE.pdf

TAARIFA KWA UMMA JUU YA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.pd

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 01, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS B) NI TISHIO LA MAISHA LAKINI TUMAINI LIPO KUPITIA CHANJO

    September 04, 2025
  • DC MWEMA AFUNGUA RASMI ZAHANATI YA ENGUSERO SIDAN

    August 31, 2025
  • SAFARI YA KM 42 KUFUATA HUDUMA ZA AFYA SASA NI HISTORIA NDIRIGISHI

    August 30, 2025
  • WATAALUMU KUTOKA WRRB WATEMBELEA KITETO KUKAGUA MFUMO WA STAKABADHIZA GHALA

    August 28, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa