Picha hii ni kwa hisani ya TBC
Leo, Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI pamoja na Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) tumezindua tovuti mpya za Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara, na Halmashauri zake zote 185. Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri wa nchi OR-TAMISEMI, Mh. George SImbachawene, na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe, na Mkurugenzi Msaidi wa USAID Tanzania, Tim Donnay, ambao ndio wafadhili wa Mradi wa PS3.
Kwa hisani ya Leah Mwainyekule Kiongozi na Mkurufunzi wa mradi PS3
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa