Imetumwa : July 30th, 2025
Wahenga walisema "Hayawi hayawi sasa yamekua". Kile kilio cha muda mrefu cha wananchi wa kata ya Kaloleni cha kupata shule mpya ya msingi sasa kimesikiwa na hatimaye kata hiyo inaenda kupata shule yen...
Imetumwa : July 30th, 2025
Habari picha ni wananchi wa kitongoji cha Kinangali kata ya Laiseri, waliojitokeza Julai 24, 2025 kwenye mkutano wa kuutambulisha mradi wa BOOST katika shule ya Msingi Kinangali.
Mradi huo...
Imetumwa : July 30th, 2025
Shule ya Msingi Kurash iliyopo katika kata ya Lengatei, wilayani Kiteto, imeendelea kunufaika na programu ya BOOST baada ya kupokea mradi mpya wa ujenzi wa miundombinu ya elimu yenye thamani ya zaidi ...