Imetumwa : May 4th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya KIteto, CPA. Hawa Abdul Hassan, amewagiza wasimamizi wa miradi ya ujenzi wilayani Kiteto kuhakikisha kuwa inatekelezwa kwa ubora unaotakiwa ili thamani ...
Imetumwa : April 30th, 2024
Watumishi wilayani Kiteto wameaswa kua na nidhamu na matumizi bora ya fedha ikiwa ni njia mojawapo ya kupata utulivu kazini.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya Kiteto , Mh. Remidius Mwema, kwenye...
Imetumwa : April 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh. Remidius Mwema Emmanuel, amewaagiza wakuu wa taasisi wote wilayani hapo ambao hawajaweza kuwatambua wafanyakazi hodari kwa mwaka 2024 kufanya hivyo mara moja.
Maagizo &...