Imetumwa : June 5th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, CPA. Hawa Abdul Hassan, anawakumbusha wananchi wote kua kliniki ya Madaktari Bingwa inaendelea katika Hospitali ya Wilaya iliyopo Kibaya.
...
Imetumwa : June 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga ameipongeza Halmashauri ya Wilaya Kiteto kwa kuendelea kupata Hati Safi ya Ukaguzi.
Akizungumza katika Baraza Maalumu la kujibu hoja za Mka...
Imetumwa : May 27th, 2025
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kiteto Ndg. Mufandii Msaghaa ameongoza Kikao cha Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025 kilichofanyika Mei 27,2025.
Kikao hicho ambacho kimefanyika katik...