Imetumwa : August 3rd, 2024
Kata ya Ndirigishi imepokea Cheti cha Pongezi kwa kuibuka kinara katika kutekeleza Mkataba wa Lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto katika mwaka 2023/2024.
Cheti hicho cha Pongezi ambacho ki...
Imetumwa : August 2nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhe. Remidius Mwema, amewaagiza Watendaji wa Kata katika Halmashauri hiyo kupita kwenye shule zote zilizopo kwenye kata zao ili kufanya ukaguzi wa chakula kwaajili ya w...
Imetumwa : July 18th, 2024
Julai 17, 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto iliupokea Mwenge wa Uhuru na kukimbizwa umbali wa kilomita 68 wilayani hapo.
Ukiwa Wilayani hapa Mwenge wa Uhuru umezindua, kufungua na kutembelea mi...