Imetumwa : September 29th, 2025
"Nitumie fursa hii kutoa wito kwamba; unapoona mbwa au mnyama mwenye dalili zisizo za kawaida, unatakiwa kutoa taarifa kwa Mtaalamu wa Mifugo aliyeko karibu au Serikali ya Kijiji/Mtaa wa eneo lako. Na...
Imetumwa : September 29th, 2025
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya ya wanyama imeandaa Mpango Rasmi wa kutokomeza Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa ikiwa ni moja ya mkakati wa kufikia azma ya Dunia ya kuondokana kabisa ...
Imetumwa : September 26th, 2025
Septemba 25, 2025, Halmashauri ya Wilala ya Kiteto imeendesha semina elekezi kwa kamati za ujenzi na kamati za mapokezi zinazohusika moja kwa moja katika usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezw...